MTWARA RS

FUATILIA TAARIFA MBALIMBALI ZINAZOHUSU MKOA WA MTWARA NA SEHEMU NYINGINE NDANI NA NJE YA TANZANIA, KWA MAWASILIANO E-mail: yustace.evaristy@mtwara.go.tz SIMU: +255 717 697 205

Thursday 28 February 2019

Tuko Tayari kutatua changamoto za wananchi. - Jaji Mkuu Tanzania


Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Byakanwa akizungumza na mgeni wake Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma alipomtembelea ofisini kwake leo Februali 28, 2019.

Jaji Mkuu amemhakikishia Mhe. Mkuu wa Mkoa kuwa Mhimili wa mahakama umejipanga kuhakikisha  unatatua changamoto zote zinazowakabili wananchi katika kupata huduma bora za mahakama.


No comments:

Post a Comment