Mbalawa kumtimua Mhandishi wa Bandari. ampa miezi mitatu
Waziri wa Uchukuzi,.. Mheshimiwa Makame mbarawa ametishia kumtimua mhandisi wa bandari kwa kuchelewesha ujenzi wa ghati bandari ya Mtwara. Amesema haridhishwi na kasi ya Ujenzi huo hivyo ametoa miezi mitatu kama mabadiliko hayatakuwepo atachukua hatua.
No comments:
Post a Comment