inaendelezwa hapa nchini, Jeshi la Polisi mkoani Mtwara limecharuka na
kuwakamata watuhumiwa 56 wanaojihusisha na biashara na matumizi ya madawa ya
kulevya. Kati ya watuhumiwa hao 54 ni watanzania, wawili ni raia wa Nigeria.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Kamanda wa
Polisi Mkoa wa Mtwara Neema Mwanga amesema watuhumiwa wote wamekamatwa katika kipindi
cha Januari, Mosi 2017 na Machi, Mosi 2017.
Polisi Mkoa wa Mtwara Neema Mwanga amesema watuhumiwa wote wamekamatwa katika kipindi
cha Januari, Mosi 2017 na Machi, Mosi 2017.
Mwanga ametaja aina ya madawa ya kulevya yaliyokamatwa kuwa
ni bangi kilo 74 na Heroine gram 100. Aidha baadhi ya watuhumiwa hao
wanaendelea na kesi mahakamani Wakati wengine wamehukumiwa na vyombo vya sheria
hapa nchini.
ni bangi kilo 74 na Heroine gram 100. Aidha baadhi ya watuhumiwa hao
wanaendelea na kesi mahakamani Wakati wengine wamehukumiwa na vyombo vya sheria
hapa nchini.
Bonyeza hapa chini kupata taarifa kamili.
No comments:
Post a Comment