Magufuli aunguruma Kiwandani Dangote. Aagiza Dangote apewe kibari cha Ku...
Msikilize Magufuli alivyounguruma kiwandani Dangote leo. Atoa siku Saba Dangote apewe kibari cha Kuchimba makaa ya Mawe. Adai wapo baadhi ya watumishi wa Dangote na Serikalini waliojipanga kupiga.
Hebu Bonyeza hapo chini uone alivyokuwa akiongea kwa hisia
No comments:
Post a Comment