RC Mtwara aagiza kuchukuliwa hatua waliogeuza mitaro kuwa dampo
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mheshimiwa Halima Dendego ameagiza
kuchukuliwa hatua za kisheria viongozi na wafanya bishara wa vijiji vya Mwenge
A na Mwenge B vilivyoko kata ya Kitama Wilayani Tandahimba. Dendego amechukua
hatua hiyo kufuatia uchafuzi wa mazingira alioushuhudia akitokea katika zoezi
la Usafi wa jumamosi ya mwisho wa mwezi Februari 2017 Lililokuwa likifanyika
Kimkoa mjini Tandahimba.
No comments:
Post a Comment