MTWARA RS

FUATILIA TAARIFA MBALIMBALI ZINAZOHUSU MKOA WA MTWARA NA SEHEMU NYINGINE NDANI NA NJE YA TANZANIA, KWA MAWASILIANO E-mail: yustace.evaristy@mtwara.go.tz SIMU: +255 717 697 205

Saturday 18 February 2017

Waliorudishwa toka Msumbiji wasafirishwa mikoani.



Tangu tarehe Feb, 11. 2017 mkoa wa Mtwara ulianza kuwapokea watanzania waliofukuzwa kutoka Msumbiji kwa madai ya kutokuwa na vielelezo halali vya kuishi huko.

Tangu siku hiyo, Mkoa ulihakikisha stahili zao zote kama watanzania zinapatikana. Hatimae leo maroli matatu yameondoka katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa kuwatanya ndugu zetu hawa sehemu mbalimbali hapa nchini.
Bonyeza video hii hapa chini uone walivyofunguka juu ya yaliyowapata wakiwa Msumbiji.

No comments:

Post a Comment