MTWARA RS

FUATILIA TAARIFA MBALIMBALI ZINAZOHUSU MKOA WA MTWARA NA SEHEMU NYINGINE NDANI NA NJE YA TANZANIA, KWA MAWASILIANO E-mail: yustace.evaristy@mtwara.go.tz SIMU: +255 717 697 205

Monday, 23 December 2019

Waziri Ummy Aridhishwa na upatikanaji dawa Ligula Mtwara

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy
Mwalimu ameridhishwa na upatikanaji wa dawa katika Hospitali ya Rufaa ya
Mkoa wa Mtwara, Ligula. Akizungumza na waandishi wa habari baada ya
ziara yake ya siku moja ya katika Hospitali hiyo amesema hali hiyo
inatia matumaini na inawezesha lengo la serikali la kupunguza vifo vya
akina mama wajawazito kufikiwa.

No comments:

Post a Comment