MTWARA RS

FUATILIA TAARIFA MBALIMBALI ZINAZOHUSU MKOA WA MTWARA NA SEHEMU NYINGINE NDANI NA NJE YA TANZANIA, KWA MAWASILIANO E-mail: yustace.evaristy@mtwara.go.tz SIMU: +255 717 697 205

Monday, 23 December 2019

Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini kuanza Julai 1, 2020

Waziri wa
Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia  Wazee na Watoto UMMY MWALIMU ameridhishwa
na kasi ya ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini inayojengwa katika
eneo la Mitengo Manispaa ya Mtwara Mikindani.




Ujenzi wa
Hospitali hii ulisimama tangu mwaka 2009 kutokana na kukosa fedha.

No comments:

Post a Comment