Mkuu wa Wilaya ya Newala Mhe.
Aziza Mangosongo akimkabidhi Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari Kiuta,
Abdullah Chikoya (kulia) vifaa vya ujenzi wa vyoo vya walimu na wanafunzi
katika shule hiyo. Vifaa hivyo vimepatikana kupitia kampeni ya 'Shule ni Choo'
iliyoanzishwa na Mkuu wa Mkoa Mhe. Gelasius Byakanwa Ikilenga kuondoa
changamoto ya matundu ya choo kwa shule za msingi na sekondari mkoani Mtwara.
Kushoto ni Katibu Tawala wa Wilaya hiyo, Daniel Zenda.
Mhe. Mangosongo akipitia nyaraka na taarifa muhimu ili kuhakikisha mgao unafanyika kwa haki
No comments:
Post a Comment