Maandamano kuelekea uwanja wa Mashujaaa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani.
Maandamano haya yalianzia maeneo ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kupitia barabara kuu iendayo Lindi.
Waendesha Pikipiki maarufu kama Bodaboda wakiingia uwanja wa mashujaa kuonesha uendeshaji pikipiki unaozingatia usalama barabarani.
Mkuu wa Mkoa Mtwara, Mhe. Halima Dendego akielekezwa jinsi mashime ya kupima mwendo kasi wa magari inavyowezesha upatikanaji wa ushahidi kwa madereva wasiozingatia usalama.
RC Mtwara Mhe. Halima Dendego akijaribu mashine ya kupima kiwango cha ulevi. Mashine hii hutumiwa na maaskari wa barabarani kutambua madereva wenye kilevi.
RC Mtwara akikagua mashine za kuzimia moto
RC Mtwara akikata utepe kabla ya zoezi la uwekaji stika kwenye gari lake.
No comments:
Post a Comment