Mkoa wa Mtwara umejiwekea Utaratibu wa kutekeleza agizo la Usafi wa kila jumammosi ya mwisho wa mwezi kimkoa. mwezi huu usafi huo utafanyika wilayani Nanyumbu katika mji wa Mangaka. Mtwara RS blogspot itahakikisha inakupa kila kitakachokuwa kinaendele eneo hilo.
Baadhi ya matukio ambayo yamekuwa yakifanyika katika utaratibu huu ni kama haya;
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mheshimiwa Luhaga Mpina (mwenye kofia) akishiriki Usafi wa mazingira Wilayani Masasi wakati wa ziara yake mapema mwaka huu
Afisa Habari wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Evaristy Masuha akizibua Karavati Wilayani Masasi katika barabara ya Mtwara Masasi,
No comments:
Post a Comment