MTWARA RS

FUATILIA TAARIFA MBALIMBALI ZINAZOHUSU MKOA WA MTWARA NA SEHEMU NYINGINE NDANI NA NJE YA TANZANIA, KWA MAWASILIANO E-mail: yustace.evaristy@mtwara.go.tz SIMU: +255 717 697 205

Thursday 14 December 2017

Waziri kalemani; tatizo la Umeme Mtwara na Lindi sasa basi

Kumekuwepo na tatizo la upatikanaji wa Umeme kwa Mikoa ya Lindi na Mtwara kutokana na uchakavu wa miundombinu ya kituo kinachozalisha umeme huo kwa mikoa ya Lindi na Mtwara. Sasa tatizo hilo limepatiwa Ufumbuzi baada ya mitambo iliyokuwa na matatizo kutengenezwa. Msikilize Waziri wa Nishati Mhe. Medard Kalemani katika ziara yake aliyoifanya Mkoani hapa jana.

No comments:

Post a Comment