MTWARA RS

FUATILIA TAARIFA MBALIMBALI ZINAZOHUSU MKOA WA MTWARA NA SEHEMU NYINGINE NDANI NA NJE YA TANZANIA, KWA MAWASILIANO E-mail: yustace.evaristy@mtwara.go.tz SIMU: +255 717 697 205

Thursday 14 December 2017

REA kuwasha umeme Mtwara nzima, Waziri Kalemani

Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Medard Kalemani amesema vijiji vyote vya  mkoa wa Mtwara utafikiwa na umeme katika awamu mbili zinazofuata.
amesema umeme huo utapita kila kijijiji, kila Mtaa na kila mji. hayo amesema
leo wakati akihutubia wanancghi wa kijiji cha Milamba kilichoko Wilayani. Msikilize Mheshiwa waziri hapa.

No comments:

Post a Comment