Wakati akizindua Benki ya NMB kanda ya Kusini iliyoko barabara ya TANROAD
karibu na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli alionesha
kufurahishwa na kazi nzuri ya Benki hii na kuzitaka Benki nyingine ziige mfano
wake.
Katika mengi aliyoyataja ni pamoja na kuzitaka Benki zote nchini zijikite katika kufanya biashara na watanzania. Aidha zisaidie kutoa mikopo yenye riba nafuu kwa watanzania.
Kutoakana na kazi nzuri ya NMB na faida inayoiingizia serikali alimuagiza Gavana wa Benki Kuu kutoa muongozo kwa Taasisi za Serikali kuitumia Benki hii.
Hii hapa Hotuba Nzima ya Mheshimiwa Rais.
No comments:
Post a Comment