Leo tarehe 10, Februari 2015 kulikuwa na kikao kilichohusu mjadala wa Master plan ya mji wa Mtwara. kikao hiki kilijumuisha viongozi wa Sekretariet ya Mkoa, pamoja Consultants kutoka Afrika Kusini ambao ndio wamepewa jukumu la kuandaa master Plan ya mji wa Mtwara.
Lengo kuu ya mkutano huo ilikuwa ni kupitiua Status Quo Report ya master Plan ambayo kimsingi kabisa ni dira ya kuonyesha master plan itakuwa vipi.
No comments:
Post a Comment