MTWARA RS

FUATILIA TAARIFA MBALIMBALI ZINAZOHUSU MKOA WA MTWARA NA SEHEMU NYINGINE NDANI NA NJE YA TANZANIA, KWA MAWASILIANO E-mail: yustace.evaristy@mtwara.go.tz SIMU: +255 717 697 205

Wednesday 24 April 2019

Kimbunga Keneth Kuvamia Mtwara Aprili 26. wananchi watahadhalishwa


Mamlaka ya Hali ya Hewala Kanda ya Kusini imewathadharisha wakazi wa mkoa wa MTWARA kuchukua tahadhari dhidi ya kimbunga KENETH kinachotarajiwa kutokea hapo kesho kuanzia majira ya asubuhi.

Meneja wa Mamlaka ya Hali ya Hewa kanda ya kusini ADAM ALMASI amesema kimbunga hicho kitaanzia upande wa bahari kuelekea nchini kavu na kutoa wito kwa wakazi wa MTWARA wanaoishi mabondeni na kando kando ya bahari kuhama kwa muda.

No comments:

Post a Comment