MTWARA RS

FUATILIA TAARIFA MBALIMBALI ZINAZOHUSU MKOA WA MTWARA NA SEHEMU NYINGINE NDANI NA NJE YA TANZANIA, KWA MAWASILIANO E-mail: yustace.evaristy@mtwara.go.tz SIMU: +255 717 697 205

Wednesday 6 September 2017

RC Mtwara alivyobadilika baada ya kupokelewa na Mwenyekiti akiwa Njwiii

Ni baada ya Mwenyekiti huyo Kumpokea RC ambaye aliandamana na Brigedia Jenerali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania Kanda ya Kusini Brigedia George Msongole katika Hafla fupi ambayo jeshi hilo lilitarajia kutoa msaada wa ujenzi wa shule ya kijiji cha Pachani Wilayani Nayumbu kilichokuwa kikiongozwa na Mwenyekiti huyo.

No comments:

Post a Comment