Mwenge wa Uhuru umeendelea kumulika mkoa wa Mtwara, jana ulitembelea shule ya sekondari Tandahimba. hii ni shule ambayo ilifanya vizuri matokeo ya kidato cha sita 2016 na kuwa ya kumi kitaifa. Serikali ilifurahishwa na jitihada hizo na kuahidi kutatua changamioto ya walimu. Mwenge wa Uhuru 2017 umepita na kuangaza nyumba hizo sita zinazojengwa kwa ajili ya familia za walimu 6.
No comments:
Post a Comment