Mkuu wa
Mkoa wa Mtwara Mheshimiwa Halima Dendego ameanzisha kampeni maalumu ya
kuikoa timu ya Ndanda ya Mkoani Mtwara inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania
Bara isishuke daraja. Mwishoni mwa wiki hii aliendesha harambee ambapo
zilipatikana milioni 81. Hebu angalia tukio zima hapa
No comments:
Post a Comment