Baada ya sensa ya Makazi wakulima wahofia sensa ya mikorosho
Wasikie wakulima hawa mwenyewe. Eti hawataki kutoa idadi kamili ya miti ya mikorosho waliyonayo mashambabni kwa kuhofia JPM atawadai kodi kutokana na idadi ya mikorosho kama ilivyo kwenye kodi ya makazi.
No comments:
Post a Comment